1 Samuel 16:2

2 aLakini Samweli akasema, “Nitakwendaje? Sauli atasikia juu ya jambo hili na ataniua.”

Bwana akamwambia, “Chukua mtamba wa ng’ombe na useme, ‘Nimekuja kumtolea Bwana dhabihu.’
Copyright information for SwhKC